Sakata la Gwajima Maaskofu watinga kwa IGP
Katibu wa Maaskofu wa makanisa ya Kipentekosti Dk. Damas Mukassa akisoma tamko la maaskofu hao Dar es Salaam jana, kuhusu sakata la kukamatwa kwa Askofu wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima ambalo leo hii wanatarajia kwenda kumuona Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu kuzungumzia suala hilo. Kulia ni Askofu Dk.Mgullu Kilimba na Askofu Mwaviga Mwafululila. Askofu Dk. Paul Shemsanga akizungumza katika mkutano huo ambapo maaskofu hao walitoa tamko lao. Wachungaji mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo. Wachungaji mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo. Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo. Baadhi ya maaskofu wakiwa kwenye mkutano huo. Mpiga picha wa gazeti la Mtanzania, Hamphrey Shao akipiga picha katika mkutano huo. Na Dotto Mwaibale MAASKOFU wa makanisa mbalimbali ya Kipentekoste nchini wamesema ...